Karibu kwenye Usajili Rasmi wa Wachezaji

Jisajili na shiriki katika ligi yenye ushindani mkubwa na nafasi ya kuangaza uwanjani!

Ingia Sajili Mchezaji

Kuhusu Mfumo

Mfumo huu ni maalum kwa ajili ya vilabu vya michezo na mashindano ya ligi.Kurahisishe usajili wa wachezaji, Kutambua wachezaji waliothibitishwa, na Kusimamia taarifa muhimu za mashindano yote kwa njia ya kidigitali na salama.

Unapojaza Fomu ya Usajili unatakiwa ukubaliane na Vigezo na Masharti yaliyowekwa ili kushiriki Mashindano ya Zuberi Cup 2025

Mdhamini Mkuu wa Mashindano haya Mstahiki Meya Mhe.Zuberi Abdallah Kidumo anasisitiza Umuhimu wa Michezo kwa Vijana